![Roho Mtakatifu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/20/33086a86875d4f98ba3791c361445589.jpg)
Roho Mtakatifu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Roho Mtakatifu - Lady Bee254
...
roho mtakatifu roho roho
msaidizi wangu roho roho
Asante kwa uwepo wako roho
najua unatenda makuu roho
roho mtakatifu roho roho
msaidizi wangu roho roho
Asante kwa uwepo wako
najua unatenda makuu roho
roho mtakatifu msaidizi wangu najua unatenda makuu×2
makuu makuu makuu unatenda makuu
makuu makuu makuu unatenda makuu
unatenda makuu si kwa majeshi Wala silaha Bali Ni kwa roho mtakatifu×4
yee alipo roho yote yawezekana
hey roho ndiye msaidizi wetu bila yeye hatuezi na tukiwa nae yote yanawezekana
roho mtakatifu msaidizi wangu najua unatenda makuu×4
makuu makuu makuu unatenda makuu makuu makuu makuu unatenda makuu makuu makuu makuu unatenda makuu