Dinda Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2019
Lyrics
Dinda - Bro Mfalme
...
VERSE 1 ( Bro Mfalme)
Nimetanga hadi Nyika sijapata mshika dau, Na nikikucheki freshi unakaa ni kaa umenisahau, I did a lot of things for you not to forget, I went an extra mile nikakugetia hadi moti, Ukadoz with my best friend matrimonial bed, Ukamzalia mtoi, kwanza twins, Iliniuma sana, I can’t lie but I told myself ah! Am just human, Nikamsamehea although iliniuma, Nikajiambia maisha ni kuskuma, You need a second chance should I or should I not, Coz for real umenipitisha a lot, nataka lakini my heart has second thoughts, Gimmie time I have to think over this, coz nikiharakisha nitarudi square one, Love to me is a scam at the moment,
CHORUS
Moyo unadinda…(uwe) (uwe)… dinda Moyo Unadinda Moyo unadinda…(uwe) (uwe)… dinda Najuta Kupenda Moyo unadinda…(uwe) (uwe)… dinda Moyo Unadinda Moyo unadinda…(uwe) (uwe)… dinda Najuta Kupenda
VERSE 2 – ( Jaystar)
Penzi lako kwangu mimi shubili, Me nahisi umenipa mbili mbili, (ohh!) Ninavyo hisi, Ukinigusa me nahisi sina jinsi, Ju mpenzi moyo wadinda, Ona nilivyo nadanga, umenipa kungu manga, mpenzi umenitwanga, (eh!) Moyo wa dunda, dunda (dunda!) (dunda!), Juu umenipa kungu manga, natanga tanga,
CHORUS ( Jaystar)
Moyo unadinda…(uwe) (uwe)… dinda Moyo Unadinda Moyo unadinda…(uwe) (uwe)… dinda Najuta Kupenda Moyo unadinda…(uwe) uh moyo (uwe)… dinda Moyo Unadinda Moyo unadinda…(uwe) uh moyo (uwe)… dinda Najuta Kupenda
VERSE 3 ( Bro Mfalme)
You were the chosen but you never saw me in, Coz you were busy trynna looking for a better me, Nikakupenda sana ukanionyesha madharau, Singeamini ungenipiga dafrau, Bow wow sai unanibeg ukibow, Am broken pieces si easy kuni assemble Chenye napitia saizi ni mimi tu najua, Kwangu ulingaa ulikua kama jua, Now you know it’s never easy for me, Ningependa but, am heavy-ladden’d, Akili inataka but roho inakata…(haha) (inakataa, inakataa, inaataa), Am sorry baby.
CHORUS ( Jaystar + Bro Mfalme)
Moyo unadinda…(uwe) (uwe)… dinda Moyo unadinda Moyo unadinda…(imekataa)...dinda Najuta Kupenda…(Imekataa kabisa) Moyo unadinda…inadinda Moyo Unadinda..unadinda Moyo unadinda…Moyo unadinda Najuta Kupenda…Ninajuta hadi ku-penda
Outro Ishakuwa taabu kuelewana mimi na wewe… (eh!) wewe Bro Mfalme, na Jaystar