![Tekenya Remix ft. Rayvanny](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/19/74089842bd7d4b23ad33da9eba53d77f.jpg)
Tekenya Remix ft. Rayvanny Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Tekenya Remix ft. Rayvanny - Lava Lava
...
eeeeeeeeehhhhhhh
is lava again
Tekenya tekenya
kamenitekenya tekenya
s2kizzy baby.
(kamenitekenya tekenya katoto)*2
(kanitekenya tekenya katoto)*2
kamenitekenya kamenigusa kunako eeehee kunako
kanitekenya kamenipofua macho eeehee macho
kanafanya makusudi kama hakataki pipi goygoy
kananifanya nakwenda rudi bodaboda pikipiki chololiloli
kanitekenya kanipandisha midadi
nikimuona beki hazikabi kanitekenya
moyo mpasuko radi mapigo mbio bila ya idadi tekenya
shape lake la nick minaj mtoto ananimalizia mtaj kanitekenya
akili kwake hazichaji natapatapa kama mfa maji
chorus
tekeee tekenya tekenya
kani- tekee tekenya tekenya
kamenishika kwenye paja tekenya
namtajataja tekenya
tekee tekenya tekenya
kani-tekee tekenya tekenya
amenigusa kwenye kwapa tekenya
yani mara huku mara hapa tekenya
kamenitekenya tekenya katoto)*2
kanitekenya tekenya katoto)*2
vanny booooy
kamenitekenya tekenya katoto)
verse 2.
nikikatekenya kanatekenyeka
yani (hahaha) kanachekacheka
kamenitekenya kanavyotetemesha
wami kitonga sekenke naserereka tekenya
mikono juu kaana mabawa tekenya
upepo sukuma ngalawa tekenya
ukizungusha mama napagawa tekenya
hadi birika lamwaga kahawa uki-ka-a-a-a-atika kigugumizi
masai kanipa dawa nishatafuna mizizi wana da-a-atiiisha kichizichizi yani natapatapa nashindwa kupiga mbizi
pinda mugongo ukunje mikono twende taratibu kama konokono
kuku kishingo shingo
kuku kishingo kama mbuzi kagoma kwenda
kuku kishingo kiruuu shingo
kuku kishingo kizombi nimetoka milenda kanitekenya
chorus.
tekeee tekenya tekenya
kani- tekee tekenya tekenya
kamenishika kwenye paja tekenya
namtajataja tekenya
tekee tekenya tekenya
kani-tekee tekenya tekenya
amenigusa kwenye kwapa tekenya
yani mara huku mara hapa tekenya
pinda mugongo kishingo weka juu
kunja na mikono kama kangaruu
kuku kishingo shingo
kuku kishingo kama umejinyonga unaning'inia
kuku kishingo shingo
kuku kishingo fanya unaibuka unazamia
kuku kishingo shingo
kuku kishingo paramia ukuta chungulia
kuku kishingo shingo
kuku kishingo yani nyatunyatu unanyatia.
ayo laiiiizer