Guthithimukwo ft. Mr seed Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Guthithimukwo ft. Mr seed - Jay Donga
...
Guthithimukwo, oh nananana, guthithimukwo, oh nananana, guthithimukwo, starborn,
nikona Yesu, hatamki ni sema mimi nikona Yesu ahah, hakuna kitu mnaweza do, hata mkifanya nini nikona Yesu,(ahah),hakuna kitu ah, hapa ni kupraise hapa ni kudance, hapa ni kupraise hapa ni kudance, njaro niza Yesu njaro niza Baba, njaro niza Yesu njaro niza baba,Eyo Dongo usijali hata zile vitu wana bonga,(ahah) huyu Yesu ndiye Donga letme talk to you kioga my brother,(ahah)
kila mutu basi guthithimukwo, unasonga uki guthithimukwo, roho aki shuka, guthithimukwo, unasonga uki guthithimukwo, uwanabaki wame shtuka
roho wa Mungu aki shuka wanadhani nime chizi(aaaah nime chizi), niki guthithimukwo wana sema siko fiti(aaaah siko fiti), aaae neno lina tamba eh,aaah neno lina tamba, aaae Yesu ana tambae, aaah Yesu ana tamba, hebu imagine, ukiokoka una kuwa mutu safi, anakuosha unakuwa na roho safi, ndani ya Yesu ni party party after party,(oh nuh), mimi Donga sita jali zile vitu watu wana bonga, Yesu ndiye Donga letme talk tou kichinkuu my brother,(wachaaa)
kila mutu basi guthithimukwo, una songa uki guthithimukwo, roho akishuka, guthithimukwo, una songa uki guthithimukwo, wana baki wame shtuka,guthithimukwo, unasonga uki guthithimukwo, roho aki shuka guthithimukwo, una songa uki guthithimukwo, wana baki wame shtuka.