![Cheza Biggy](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/30/2a32d32b6ede4216b10ce80ab91f56fa.jpg)
Cheza Biggy Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
To God be the glory.
GAME haiezi kosa kuwa na M.V.P.
Ndio maana sina ngori.
Najua nina kwetu mi si I.D.P.
To Him be the glory
Ameniinua mi ni V.I.P.
To God be the glory. So skia story...
Mi sichezi chini na sichezi ndogo
tu-ashame devo juu sipendi uwongo
Sisi si kidogo, sikupi kisogo
Flavor ndio tofauti na sisemi bongo
Flow iko tops kumbe kuna soko
zinaendanisha kaa chapati dondo
Kaa Selassie-I nishakuwa kigogo>
Nashika Mic uliza Mbuvi, Yesu ndo sonko.
Ni muhimu kuji-set, ukipata unagawa/
Njoo karibu ndio uzidi zaidi.
Kidole usi-forget, kimoja hakivunji chawa/unaezanawa sawa unaushindi.
Unaicheza Juu... Juu Juu Juu
Cheza Biggy... Biggy Biggy Biggy
Unacheza Juu. Juu Juu Juu
Unaicheza Biggy... Biggy Biggy Biggy
Unaicheza Juu... Juu Juu Juu
Unaicheza Biggy... Biggy Biggy Biggy
Unaicheza Juu... Juu Juu Juu Juu
Unaicheza Biggy... Biggy Biggy….
Kumbe kuna nuru. Nilikuwa gizani.
Eh Bwana na shukuru nimevua miwani.
Akili kaa ni nywele. Mi ni Big wig.
I'm a bit short but a Big shot!>(btw) Bila yeh hakungekuwa na COLLO...
Inafaa nirudishe mkono
Nisha-level up, sitembei solo
Siezi konda juu wamelala unono.
Ni muhimu kuji-set, nikipata ninagawa/
Njoo karibu ndio nizidi zaidi.
Kidole usi-forget, kimoja hakivunji chawa/
Nishanawa mimi nina ushindi.
Naicheza Juu... Juu Juu Juu
Nacheza Biggy... Biggy Biggy Biggy
Ninacheza Juu. Juu Juu Juu
Naicheza Biggy... Biggy Biggy Biggy
Naicheza Juu... Juu Juu Juu
Nacheza Biggy... Biggy Biggy Biggy
Ninacheza Juu... Juu Juu Juu Juu
Naicheza Biggy... Biggy Biggy….
Shetani ashindwe!
Naeza confirm if you say so...
Mistari chungu nzima acha app za play store.
Uachawi kanisani imejaa na kumechacha.
Usiingize tumbo joto, nikungwan kaa sacha.
Adui wa mkristo ni mkristo.
Usiji-shoot kwa mguu, ulimi pistol
Kaa ni ku-bombulate, tume-discom.
Na-rewrite history skia risto.
Muhimu kuji-set, tukipata tunagawa/
Njoo karibu ndio tuzidi zaidi.
Kidole usi-forget, kimoja hakivunji chawa/
Tushanawa sisi tunaushindi.
Tunaicheza Juu... Juu Juu Juu
Twacheza Biggy... Biggy Biggy Biggy
Tunacheza Juu. Juu Juu Juu
Tunaicheza Biggy... Biggy Biggy Biggy
Twacheza Juu... Juu Juu Juu
Twacheza Biggy... Biggy Biggy Biggy
Tunaicheza Juu... Juu Juu Juu Juu
Twacheza Biggy... Biggy Biggy.
To God be the glory.
GAME haiezi kosa kuwa na M.V.P.
Ndio maana sina ngori.
Najua nina kwetu mi si I.D.P.
To Him be the glory
Ameniinua mi ni V.I.P.
To God be the glory. So skia story.
--- www.LRCgenerator.com ---