![Aminia](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/2B/79/rBEeNFka8kuAKZlzAAC30oPk41k425.jpg)
Aminia Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2017
Lyrics
[ti:Nyashinski - Aminia]
Yeah
Niko hapa kuwapa mziki mzuri
Wako hapa tu kuwa famous
Ama juu waliskia marapper
Hupendwa na madame bas
Wanajiita lyricists
Kwa hizi interviews
Na mimi tu ndio nimetoa lyric video
Ika-hit a million views Sawa!
Yeah
Nyashinski
Yeah
Cedo
Yeah
Eti nyash hii area si ulikam na ubaya
Iko watu husema heri ata ungekwamia ulaya
Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa waretire
Secular lakini unaandika gospel fire
Silive a lie
Najua ntasound nikaa nko madre but juzi walahi
Nilipanda matatu na Trey na siuzi mayai
Nimetoka mbali aisee na siishi Rongai
(true story)
Klepto si mtarudiana lakini?
Hatujai achana tunarudiana kwanini
Na majaliwa inshallah mi na hawa vijana wawili
Tutazidi sana kando na kukosana niamini
Tusipimane akili min-na kichaa
Waambie waache kujichokesha ulimi mi ndio teacher
Enyewe mazee wataacha lini,
Kujichocha juu ni clear
Tukisimama hao na mi ni mi una-prefer
Yeah
Aminia
Whoa na na na na aminia
Whoa na na na na yeh
Aminia
Whoa na na na na aminia
Whoa na na na na yeh
Aminia
Ah ah ah ah ah ah yeh
Aminia
Ah ah ah ah ah ah yeh
Aminia
Ah ah ah ah ah ah yeh
Aminia
Kuna tenje yangu flani heri ibaki mteja tu
Au nkitoka niiachange kwa keja tu
Najua ikilia ni mtu anataka favor tu
Kila conversation ni kaa deja vu
Maisha imejaa na watu fake si uwongo
Na visu za k’nidunga nikiwageuzia mgongo
Washasense ndakafunga saa wananyemelea
Siezi afford kumwaga unga najitegemea
Sieki imani kwa binadam mimi
Naeka imani kwa God si kwa sanam mimi
Kaa sikupendi sikufichi
No pretending hata simu zenu mi sishiki
Nikwe pissed kwa nini
Siko pissed niamini
Mi niko bie,
Na-go through vitu real kaa nyinyi mimi pia
Maybe tu-argue beats au gear
Hatuwezi argue ati iko rapper anatoa hits kaa mimi
Aminia
Whoa na na na na aminia
Whoa na na na na yeh
Aminia
Whoa na na na na aminia
Whoa na na na na yeh
Aminia
Ah ah ah ah ah ah yeh
Aminia
Ah ah ah ah ah ah yeh
Aminia
Ah ah ah ah ah ah yeh
Aminia
Philosophy yangu ni don't worry Chema cha jiuza
Sijieki na Don, Larry ama Martin Luther
Nani huyo CNN wana-interview? Sio Mimi
Nkianza hii kitu ni watu wafew waliamini
Nabii hakosi heshima isipokuwa kwa nchi yake,
Kwa jamaa zake, na nyumbani mwake
Nabii hakosi heshima isipokuwa kwa nchi yake,
Kwa jamaa zake, na nyumbani mwake
Hii ni ya kila mtu nishaiuliza kaa anapenda rap
Akaniambia ako fifty fifty yeah
Kila mtu anaconsider kuingia hii biz ya mziki
But ameambiwa ati mziki hailipi
Kaa uko hapa juu ni passion bas si kazi hata
Kaa we ni rapper juu ni fashion hatukutaki hapa
Hii ni ya msanii hulalanga njaa na guitar
Anaimba for free saii
Na ataendelea ata kaa anajua ataaja lipwa yeah
Hii ni ya mtoi yeyote ako na dream
Sku moja ni we wataita King
Jione umepanda stage naumeshika
Usiwai sahau mahali umetoka juu umefika aminia
Sichoki sichoki sichoki
Style mingi kushinda menu ya kinyozi
Naeza swear hao wengine hawatoshi
Aminia aminia aminia
Ah ah ah ah ah ah yeh aminia
Ah ah ah ah ah ah yeh aminia
Ah ah ah ah ah ah yeh aminia
Oh na na na aminia