![Alisema](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/29/003008f4e8094d519bc15a7dbf9e1027.jpg)
Alisema Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Alisema - Abasingo Shine
...
nenda wapi mi dwa wakuniponya
maradhi nikiugua
kam maji umenawa
hutaki kuniona
hali yangu kuijua
yeeh
umenipa kisogo
umetupa jongoo
na mti wake
nani aniokotee
yaliyonikuta si madogo
maaana nakumbuka ahadi zake
aitatokea aniache
sababu alisema ntabaki naye
ntabaki naye
alisema ntakufa naye
ntakufa naye
mbona watoto ntazaa naye
ntakufa naye
.....
oh nanana
eeh
huu uchunguu hauelezeki
kama mzigo haubebeki
nilimwamini saa ndo kafanya nini
? imegeuka feki
penzi langu kqpiga breki
mwenzenu mimi
mapenzi si tamani
chorus
umetupa jongoo
na mti wake
nani aniokotee
yaliyonikuta si madogo
maaana nakumbuka ahadi zake
aitatokea aniache
sababu alisema ntabaki naye
ntabaki naye
alisema ntakufa naye
ntakufa naye
na watoto ntazaa naye,ntalea naye
ntakufa naye
penzi kabaa kooo,atanitoa roho ×2