![Ndoto (Rap Version)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/12/68d0f841fd8643da9881da8e705cf2f5.jpg)
Ndoto (Rap Version) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Ndoto (Rap Version) - Ezzy Skillz
...
v kwenye dili wakanipiga chini
Maana nlishaweka nia
Pa pania
Popote me ntawavamia
Si ndiyo nkawakuta bar wametandaza bia
Na nyama pia
Sikukausha nkawa haribia
Kumbe ilikua ndoto
Nkajiona kama mtoto
Imeniachia tumbo joto
Na bado kwenye msoto
Nashinda changamoto
Magoli kama boko
Namiliki mkoko
Me international syo local
Mara napanda ngazi kwenye tuzo za grammy
Bongo naibeba begani ebwana noma sio utani
Mtanzania wa kwanza anayemiliki rap game,
Real fame
Check nnavyowadatisha kila sehemu
yani ndoto ...ndoto... aah
jama kumbe ndoto.. ndoto aah
yani ndoto ...ndoto.. aah
jama kumbe ndoto ...ndoto aah
Ebwana tony ota vyote choo cha ndotoni usitumie
Niskize mimi nakuepusha hii aibu usiipitie
Ila ukiona fuko la noti noti we lirukie
Tushtue wana machizi boti tuzitumie
Ndoto ilikua hivi
Tujione tu kwa TV
Now game imebadilika kuforce inabidi
Inabidi kuweka bidii
Kila hatua dua amini
Hizi bling bling kila kona wanaita madini
White juu chini na pisi kali hapa town
Nje kuna mchuma umepimpiwa chata CROWN
yani ndoto ...ndoto... aah
jama kumbe ndoto.. ndoto aah
yani ndoto ...ndoto.. aah
jama kumbe ndoto ...ndoto aah
Aah naamka usingizini chakaramu
jamani ndoto haina nidhamu
kumbe bado na hustle
maisha yangu bado
kumbe zilikua ndoto
sina hata kimoko