Bahaya Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2021
Lyrics
I heard it from my mommy
Aliniambia
Hii ni dunia ni ya wale wajanja, it's all about the money
I heard it from my daddy
Aliniambia
Binadamu si wa kutegemewa, ni kama hayawani
But daddy am a big boy, am searching for a reason
Am searching for the anchor to hold me down
In this world, ni hatari
Bahaya
Bahaya
I heard it from my brother
Aliniambia
Hebu tulia la sivyo utaumia, wanawake mashetani
Then I heard it from my sister
Aliniambia
Wanachotaka ni upendo, attention na heshima
You must treat them like a queen
But daddy am a big boy, am searching for a reason
Am searching for the anchor to hold me down
In this world, ni hatari
Bahaya
Bahaya
Ulienda kwa mganga, doctor kutoka tanga
Kumbe ni wa matanga
Sudhani ulifaidika
Sudhani ulifaidika
In this world, ni hatari
Bahaya
Bahaya