Kimbiliyo Langu ft. Minister Cedric Kaseba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Kimbiliyo Langu ft. Minister Cedric Kaseba - Deborah Lukalu
...
Oh Baba, pokea sifa eeh
We ndo kimbiliyo langu
Langu (Langu) langu (Langu) Langu ayee
We ndo kimbiliyo langu
Langu (Langu) langu (Langu) Langu ayee
We ndo kimbiliyo langu
Langu (Langu) langu (Langu) Langu ayee
We ndo kimbiliyo langu
Langu (Langu) langu (Langu) Langu ayee
Niseme ayee, maajaabu umefanya ayee
Inanipitilia eeh
Omega aayee, You started and you finished
Mi nakushukuru eeh
Niseme ayee, maajaabu umefanya ayee
Inanipitilia eeh
Omega aayee, You started and you finished
Mi nakushukuru eeh
From day one God your presence
I can feel it I can see you have turned my life around
Umenipiganie eeh
Kila siku naishi kwa neema, eeh kwa neema
Kwa lakini ni mpaka kwa neema
I believe it's season
That you made a way
In my faith will say eeh
We ndo kimbiliyo langu
Langu (Langu) langu (Langu) Langu ayee
We ndo kimbiliyo langu
Langu (Langu) langu (Langu) Langu ayee
We ndo kimbiliyo langu
Langu (Langu) langu (Langu) Langu ayee
We ndo kimbiliyo langu
Langu (Langu) langu (Langu) Langu ayee
Pokea sifa ayee
Mfalme upewe sifa
You deserve the glory and the honor Baba o
Everytime I run to you you deal my matter o
You turn them blessings to a miracle I praise you o
Kama sio wewe, I don't know where I go be o
Your love is incredible
Your promise unbreakable
Your grace immeasurable
Kila siku naishi kwa neema, eeh kwa neema
Kwa lakini ni mpaka kwa neema
Niseme ayee, maajaabu umefanya ayee
Inanipitilia eeh
Omega aayee, You started and you finished
Mi nakushukuru eeh
Niseme ayee, maajaabu umefanya ayee
Inanipitilia eeh
Omega aayee, You started and you finished
Mi nakushukuru eeh
We ndo kimbiliyo langu
Langu (Langu) langu (Langu) Langu ayee
We ndo kimbiliyo langu
Langu (Langu) langu (Langu) Langu ayee
We ndo kimbiliyo langu
Langu (Langu) langu (Langu) Langu ayee
We ndo kimbiliyo langu
Langu (Langu) langu (Langu) Langu ayee
Kimbilio ni wewe Baba wee
Muweza yote asante
Aha, Your promise unbreakable
Your grace immeasurable
Baba asante kwa yote
Kwa lakini ni mpaka kwa neema
Kimbilio letu
Kwa lakini ni mpaka kwa neema
Eeh kwa neema
Your love is incredible
Jesus, umenijaza na upendo wako
Kama sio wewe baba wangu
I don't know where I go be o
I don't know where I go be o
We ndo kimbiliyo langu
Pokea sifa, pokea sifa Baba o
Pokea pokea, pokea sifa Baba o
Pokea pokea, pokea sifa Baba
Source: Musixmatch