Christina Shusho - Waranda Randa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
Lyrics
Christina Shusho - Waranda Randa - Christina Shusho
...
Yalinenwa na manabii kale
Kwamba atazaliwa mwanamume
Na ufalme utakuwa begani mwake
Ataitwa Emmmanuel eh!
Japo miaka ilipita
Lakini neno lilitimia.
Salamu Maria Umejaa Neema
Bwana yu nawe umebarikiwa kuliko wanawake wote
Salamu Maria umejaa neema Bwana yu nawe umebarikiwa kuliko wanawake wote.
U wapi Yusufu wa ukoo wa Daudi
Unabii umetimia kwako.
Warandaranda mbao tu
(Yusufu we)
Usiku mchana we mbao
(Wewe Yusufu we)
Warandaranda mbao .
(Kumekucha Yusufu wee)
Yusufu fundi wa mbao
(Amka!)
Yusufu wee
Warandaranda mbao tu
Wacha kuranda mbao tu we
Usiku mchana we mbao
(Wewe)
Warandaranda mbao tu
Yusufu we amka we
Yusufu fundi wa mbao
*****
*****
Nyumba zimejaa za wageni zimejaa
Yusufu zimejaa Bethlehem kumejaa
Nyumba zimejaa za wageni zimejaa
Yusufu zimejaa Bethlehemu kumejaa
Ni Wakati wa sensa (kumejaa)
Wageni ni wengi (Kumejaa)
Ni wakati wa sensa (kumejaa)
Wageni ni wengi (Kumejaa)
Nyumba zimejaa za wageni zimejaa
Yusufu zimejaa Bethlehemu kumejaa
Nyumba zimejaa za wageni zimejaa
Yusufu zimejaa Bethlehemu kumejaa
Warandaranda mbao tu
(wee waranda mbao tu)
Usiku mchana we mbao
(Yusufu waranda mbao)
Warandaranda mbao
wewe amka
Yusufu fundi wa mbao
Warandaranda mbao tu
(Shituka wee) amka
Usiku mchana wee mbao
(shituka we Yusufu we)
warandaranda mbao tu
Yusufu fundi wa mbao
*****
Mioyo imejaa mambo
Masumbufu ya maisha yakutesa
Mpaka umesahau Ahadi za Mungu
Hata usiku uwe mrefu,kutakucha
Fungua moyo azaliwe kwako
Akizaliwa atafanya mambo mapya
Neno lake halirudi bure
Akiahidi lazima atimize
Wacha kuranda mbao we kuranda mbao
Warandaranda mbao tu
Shituka Yusufu we
Usiku mchana we mbao
Kumekucha Yusufu wee
Warandaranda mbao tu
Punguza shughuli Yusufu we
Yusufu fundi wa mbao
Kumbuka ahadi Yusufu we
Warandaranda mbao tu....
*
*
Usiku mchana we mbao
Yusufu we
Warandaranda mbao
wewe Yusufu we
Yusufu fundi wa mbao
Amka Yusufu we
Warandaranda mbao tu
We shituka we Yusufu wee
Usiku mchana we mbao
Kumekucha wewe Yusufu
Warandaranda mbao tu
Yusufu we
Yusufu fundi wa mbao
Warandaranda mbao tu
Usiku mchana we mbao
Warandaranda mbao tu
Yusufu fundi wa mbao
***""""****
Warandaranda mbao Tu!