![Maria](https://source.boomplaymusic.com/group2/M05/D9/FF/rBEeqFzmaPuAHoebAABjWvV-4ms840.jpg)
Maria Lyrics
- Genre:Benga
- Year of Release:2019
Lyrics
Maria - Prince Indah
...
sikia
sauti ni yake prince indah
mc ja kakamega
super ndita
rozela,rokola,memola,yabukusu
ooh mama Maria
Maria we Maria weweee
mama Maria we Maria mama
ohh Maria we Maria mama
utanipa maradhi ya mayo kweli
utanipa maradhi ya moyo mama
utanipa maradhi ya moyo Maria
nilikuacha nyumbani kwetu Maria
nikaelekea mjini wee
nikaelekea mjini kulee
kule mjini kusaka hatua
kwa kuwa mjini kusaka riziki
kwa kweli mjini maisha magumu ooh
huko mjini maisha magumu
kule mjini maisha magumu
kipato hakikiri maitajii
kipato hakikiri maitajii
rahisisha mahitaji yako mama
rahisisha mahitaji yako mama rahisisha mahitaji yako Maria
rahisisha mahitaji yako mamaa
unasema kwamba sikufai mum
oooh unasema kwamba sikufai mum
kwa kuwa Sina hela sikufai miyee
kwa kuwa Sina hela sikufai miyee
kwa kuwa Sina nyumba sikufai mum
kwa kuwa Sina nyumba sikufai mum
kwa kuwa Sina mavazi sikufai mum
kwa kuwa Sina uwezo sikufai mum
mapenzi sio magari za kifahari
mapenzi sio magari za kifahari
mapenzi sio majumba za kifahari mum
mapenzi sio majumba za kifahari
mapenzi sio hela Maria nielewe
mapenzi sio hela Maria nielewe wala sio mavazi Maria sikia
wala sio mavazi Maria sikia
ila mapenzi ni hisia kutoka mayoni
ila mapenzi ni hisia kutoka mayoni
Maria weweee
Maria we Maria weweee
Mama Maria we Maria mama
Maria we Maria mama
nilikuacha nyumbani kwetu Mariaa
nilikuacha nyumbani kwetu Mariaa
nikaelekea mjini wee
kule mjini kusaka hatua
kule mjini kusaka hatua
kwa kweli mjini maisha magumu ohh
kwa kweli mjini maisha magumu mama
Maria mjini maisha magumu mama
kipato hakikiri maitajii
kipato hakikiri maitajii we
rahisisha mahitaji yako we
rahisisha mahitaji yako wewe
rahisisha mahitaji yako wewe e
rahisisha mahitaji yako Maria
unasema kwamba sikufai mum
kwa kuwa Sina gari sikufai miyee
kwa kuwa Sina nyumba sikufai mum
kwa kuwa Sina uwezo sikufai mum
mapenzi sio magari za kifahari
mapenzi sio magari za kifahari
mapenzi sio majumba za kifahari
mapenzi sio majumba za kifahari
mapenzi sio fedha Maria nielewe
mapenzi sio hela Maria nielewe
wala sio mavazi Maria sikia
wala sio mavazi Maria sikia
yiee mapenzi we
mapenzi we
mama mapenzi we
mapenzi we mapenzi we maumivu
kwa kweli mapenzi we
mapenzi we
Maria mapenzi we
mapenzi we
mapenzi wee,maradhi mum
wee mapenzi we
mapenzi we
aaah mapenzi we
mapenzi we
mapenzi we
kilio ooh
jamani mapenzi we
mapenzi we
Maria mapenzi mama aa
mapenzi we mapenzi wee maumivu kweli
mwenzenyu mapenzi maradhii wee.......ooh mapenzi
oooh mapenzi kilio.... ooh mapenzi
oooh mapenzi maradhii.... oooh mapenzi
oooh mapenzi maradhii mum.... ohh mapenzi
na sio siri mapenzi kilio ooh.... oooh mapenzi
mwenzenyu mapenzi balaa kweli.... oooh mapenzi
mwenzenyu mapenzi balaa aah.... oooh mapenzi
ulinifanya nilie kama mtoto
ulinifanya nilie kama mtoto ooh
ulinifanya nilie kama mtoto ooh ooh
ulinifanya nilie kama mtoto oho
ulinifanya niwaone wengi waremboo
ulinifanya niwaone wengi waremboo
uliniahidi mwenyewe mum
hautaniacha milele
ahhh tutaishi nawe pamoja
ooh tutaishi nawe pamoja
mama kwenye dhiki tuwe pamoja
ohh kwa furaha tuwe pamoja
na mbona sasa wanitia aibuu
na mbona sasa wanivunja ahadi yetu
kwa kweli mbona wanivunja ahadi yetu
wajuwa ya kuwa ahadi ni deni mum
wajuwa ya kuwa ahadi ni deni mum
mbona sasa wanivunja ahadi yetu
mbona sasa wanitia aibu kweli
mbona sasa wanitia aibu kweli
mtoto mwenzio naogopa aibu wee
kijana mwenzio naogopa aibu wee ee mama
nimpende nani duniani ooh
nimpende nani duniani mama
ooh nimpende nani duniani Maria
nimpende nani duniani ooh
nipate wapi kipenzi cha roho
atakae nilinda moyoni
atakae nipenda milele
atakae nilinda milele ooh
atakae nipenda moyoni
atakae nipenda moyoni....ooh mapenzi
maria mapenzi.... oooh mapenziiiii
oyareeeee..............
twende
Maria mamaaa
aaaah aaaah
twende
emama wewe kama hunipendi nieleze mapema nikue ukeli mariia
kipenzi wewe kama hunipendi nieleze mapema ili nijuwe ukweli mama
penzi wewe kama hunipendi nieleze mapema ili nijuwe ukweli kama wewe
Maria wewe kama hunipendi nieleze mapema ili nijuwe ukweli wako
penzi wewe kama hunipendi nieleze mapema ili nijuwe ukweli mama weweee
penzi wewe kama hunipendi nieleze mapema ili nijuwe ukweli mama wewe
mama Maria mama aaah ooh Maria....a
mama Maria mamaaa....ooh Maria
mama Maria mama aaah ....mama maa
mama Maria mama...ooooooooooooooh
mama Maria mama.... Maria weee
mama Maria mama.....mama maa