
kiboko Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
kiboko - Masauti
...
Ya ni toto kiboko X3
eeeiih
Hana bonge la nundu
akitembea mwendo wake Aste Aste
rangi yake kama mzungu
ukimuona lazima yakudondoke mate
anavyodatisha madonga na mabarobaro
ukijiliza eti unataka Pona mpaka uoge majero jero
Mtoto high class nywele singesinga kimanga ki pare x2
yaani working class
bila kusita ananoa nanga x2
Mtoto kiboko eehh x2 kiboko
sijamuona kama ye ye ye yaani kiboko X3
nitadunga suti na tai nimfuate nimnongoneze
nimwambie Niye nadai ananipa mi mawenge
Mtoto laki naye robbery uswazi kote naye ametawala
sioni Noma yani mbona somebarry
akinipa mi sikatai mi nakwara
figure Ka mjaka nyuma yani balaa nyuma thingiriri X 2
kwa shanga kiuno ninasimama wima mpaka alfajiri x2
Mtoto high class nywele singesinga kimanga (All) ki pare
bila kusita ananoa nanga
mtoto kiboko eehh
huyu mtoto kiboko x2
sijamuona kama ye ye ye ye x4
unavokatika shiru kama ulivyoshona gondoro
nikikupata kwa gondoro mmmhmm all (Kiboko) x2