![Yote Alimaliza](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/17/c326498bc923406c880118296fba52ae.jpg)
Yote Alimaliza Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Yote Alimaliza - Christina Shusho
...
Yote alimaliza Yote Msalabani
Dhiki zetu zote
Alimaliza zote Msalabani
Yote alimaliza yote Msalabani
Vilio vyetu vyote
Alimaliza vyote alimaliza vyote Msalabani
Yote alimaliza Yote Msalabani
Yote alimaliza Yote Msalabani
Bwana wangu Yesu alimaliza
Yote Msalabani
Yote alimaliza Yote Msalabani
"" ""
Yote(Alimaliza)
Yote Msalabani
Bwana wangu Yesu
Alimaliza Yote Msalabani
Kwa kupigwa Kwake
Alimaliza Yote Msalabani
Taji ya miiba kichwani
Alimaliza yote Msalabani
Mkuki mbavuni
Alimaliza yote Msalabani
Yote yote Alimaliza
Yote Msalabani
Bwana wangu Yesu
Alimaliza yote Msalabani
Mateso yalikwisha
Alimaliza yote Msalabani
Mama usilie
Alimaliza yote Msalabani
Ndugu jipe moyo
Alimaliza yote Msalabani
Yote yote
Alimaliza yote Msalabani
°°°°°°°°°°°°°°°°
¶¶¶¶¶¶¶¶¶