![Kitu Gani Remix](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/24/b97e62e3b1df454a9eb11b7d845d32f7.jpg)
Kitu Gani Remix Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Kitu Gani Remix - Christina Shusho
...
Nishike mkono
Mungu wangu
Usiniache
Bwana wangu
Nishike mkono
Mungu wangu
Usiniache
Bwana wangu
Nishike mkono
Mungu wangu
Usiniache
Bwana wangu
Nishike mkono
Mungu wangu
Usiniache
Bwana wangu
**
**
Kitu gani baba
Kinitenge nawe!?
Kitu gani Yesu
Kinitoe kwako!?
Kama ni dhiki,
Sikuja na kitu duniani
Kama ni uchi,
Nalizaliwa uchi
Kama ni njaa,
Wengine wana kufa nayo
Hakuna cha kunitenga nawe
Nitenga nawe Ee Yesu
Hakuna cha kunitenga nawe
Nitenga nawe Ee Yesu ee
*
Je ni nini
Kinitenge nawe!?
Fahari za dunia
Zinitoe kwako!?
Je ni mali
Zitanitenga nawe!?
Je ni cheo,
Heshima,
Itanitoa kwako!?
Magari, ndege itanitenga nawe!?
Hakuna cha kunitenga nawe
Nitenga nawe Ee Yesu
Hakuna cha kunitenga nawe
Nitenga nawe Ee Yesu ee
Nishike mkono(nishike mkono)
Mungu wangu (uuhh)
Usiniache (Usiniache)
Bwana wangu(eee)
Nishike mkono (nishike mkono Yesu)
Mungu wangu(yeee)
Usiniache (Usiniache)
Bwana Wangu(yeyeeyee)
Nishike mkono(nishike mkono Bwana)
Mungu wangu(Mungu wangu wee)
Usiniache(wangu eeeeeh)
Bwana wangu(yeyeeyee)
Nishike mkono(nishike mkono)
Mungu wangu(usiniache baba)
Usiniache(Usiniache baba)
Bwana wangu
*
Weweee
Hakuna cha kunitenga nawe(uuuh Yesu)
Nitenga nawe Ee Yesu
(Yesu Yesu)
Hakuna cha kunitenga nawe
Nitenga nawe Ee Yesu
(Hakuna cha kunitenga nawe Ee Yesu)
(ooh hakunaa)
Hakuna cha kunitenga nawe
Nitenga nawe Ee Yesu
(Nasema hakunaa)
Hakuna cha kunitenga nawe
Nitenga nawe ee Yesu
(no no no nooonoo)
Hakuna cha kunitenga nawe
( mzuri)
Nitenga nawe Ee Yesu
(we mzuri)
Hakuna cha kunitenga nawe (nakupenda )
Nitenga nawe Ee Yesu
(kama wewe)
Hakuna cha kunitenga nawe (Ee mwaminifu)
Nitenga nawe Ee Yesu
Hakuna cha kunitenga nawe (Hakuna Hakuna hakunaa)
Nitenga nawe Yesu
Hakuna cha kunitenga nawe
Nitenga nawe Ee Yesu
Hakuna cha kunitenga nawe
Nitenga nawe Ee Yesu
Hakuna cha kunitenga nawe
Nitenga nawe Ee Yesu
Hakuna cha kunitenga nawe
Nitenga nawe Ee Yesu
*