![Wewe Ni Mungu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M04/A7/7D/rBEehlyvQTaAcmTaAADXE-Ul_iQ910.jpg)
Wewe Ni Mungu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Wewe Ni Mungu - Suzzette Muthoni
...
Halleluyah wewe wewe ni Mungu
Wewe ni Mungu
Wewe ni Bwana*2
Umeketi *2
juu ya falme zote
Wewe ni Mungu*2
Mwenye Uweza wote
Mwenye Nguvu zote
Mwenye Neema zote*2
Chorus
Mwenye Utukufu wote
Mwenye Hekima yote
Mwenye Mamlaka yote*2
Chorus
Mwenye Rehema zote
Mwenye Fadhili zote
Mwenye Utawala wote *2
****END****