![Siwezi ft. Nikki Wa Pili](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/02/5dae7cf0e7f1490cbf1e5ff36fefce67.jpg)
Siwezi ft. Nikki Wa Pili Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Siwezi ft. Nikki Wa Pili - Barnaba Classic (TZ)
...
I don’t know what this is
I think you need to make a choice right now
What do you want
Life is good babe
What do you fu***ng wants
Coz am here for you
Lie.... Lie...
Another one...
Yeah... Yeahh...
You for one I choose girl
Am choose you coz you're are beautiful
Sipendi mambo ya kulie lie
Nishampenda sa ya nini tena kumlaghai
Nilikotoka nilishasota
Niliko sasa msumari wa mapenzi
Ndo umegota, guess so
Heheheee... Coz am in love with you boy
Guess so
I spend my whole time
With you in my head
Never thought you gonna be mine one day
Wowowowowowo
Be mine one day, be mine one day
Be mine one day
Nakupenda ila nataka ujue
Bila wewe mwenyewe siwezi
Oh no no
Bila wewe mwenyewe siwezi
Oh no no no no
Dunia tamu ila nataka ujue
Bila wewe mwenyewe siwezi
Oh no no
Bila wewe mwenyewe siwezi
Oh no no no no
Wanafiki wa moja wala mbili hawakai
Maswali ni mengi wamebaki why why?
Kwa maumivu tumesema bye bye
Mpaka mashetani wanaimba nai nai
Mapenzi ndo kazi na ndo maana niko busy
Hakuna ofisi kitandani piga mbizi
Hakuna kalamu na ndo maana unamenya ndizi
Sina u Marioo wala wewe sio Nyambizi
Mi ni mbili we ni mbili sio mbili bila
Kutunza na kuhonga kwa wachaga ni mila
Toka ujanani mpaka udingi dingila
Nakupa vitu flani sio mambo ya hila
I spend my whole time
With you in my head
Never thought, You gonna be mine one day
Wowowowowowo
Be mine one day, be mine one day
Be mine one day
Nakupenda ila nataka ujue
Bila wewe mwenyewe siwezi
Oh no no
Bila wewe mwenyewe siwezi
Oh no no no no
Dunia tamu ila nataka ujue
Bila wewe mwenyewe siwezi
Oh no no
Bila wewe mwenyewe siwezi
Oh no no no no
Baby najua hii si mara ya kwanza nasema hivi
Lakini safari hii ninaapa
Hii ni mara ya mwisho
Sitarudia tena
Brand new joint Barnaba featuring
Mwasiti, Nick Wa Pili, Doctor Izack, Meena Ally
Its a beautiful... Beautiful song by the way
Umesikiliza kwa mara kwanza and i hope you like it.