![Kizungumkuti](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/02/5dae7cf0e7f1490cbf1e5ff36fefce67.jpg)
Kizungumkuti Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Kizungumkuti - Barnaba
...
This is barnaba boy classic
(A king of love)
Mapenzi kizungu mkuti wenye upendo wanapigwa vibutu
Mmmh Aiyoo Aiyoo yoo aeeh
(Classic)
Mmh moyo wangu nyamaza
Sinilikwambia ukakataa
Tazama unalia nami leso sina ee
Sasa nifanyeje
Ata usiku silalii najiuliza maswali
Mwenzangu anaponda rahaa
Anabadili viwanja na bar
Aiih polee poleee
Pole moyo wangu kwamajangaa
Pole moyo wangu kwa visanga
Siwezi jisemea maumivu
Pole moyo wangu kwa majanga
Vile moyo unaniumaa eeh
Pole moyo wangu kwa visanga
Kuna muda namfungua status
Usiku wa mananee
Kisha namuangalia nikijipa moyo
Wenda atanipigia
Lakini wapi naambulia makapi
Mwenzenu naonaa
Kizungu mkuti Mapenzi kizungu mkuti
Mapenzi shikamoo
Kizungu mkuti mapenzi kizungu mkuti
Mwenzenu nimekoma
Kizungu mkuti Mapenzi kizungu mkuti
Chamtema kuni nimekionaa
Kizungu mkuti Mapenzi kizungu mkuti
Mapenzi shikamoo shikamoo
Eeeh aiye yeye iyoyo
Ikifika usiku matesoo
Nahesabu mabati usingiz ndo sipati
Najiona sina bahati najichukia
Kinyago cha mpapule nimekichonga mwenyewe kinanitisha
Nilikotoka naye mbali amesahau ananiliza
Aiih pole pole moyo ukome
Pole moyo wangu kwa majangaa aaah
Pole moyo wangu kwa visanga
Siwezi jisemea maumivu
Pole moyo wangu kwa majangaaa
Vile moyo unaniuma eeh
Pole moyo wangu kwa visanga
Kuna muda namfungua status usiku wa manane
Kisha najipa moyo wenda atanipigia
Lakini wapi naambulia makapi
Mwenzenu naona
Kizungu mkuti Mapenzi kizungu mkuti
Mapenzi shikamoo
Kizungu mkuti Mapenzi kizungu mkuti
Mwenzenu nimekoma
Kizungu mkuti Mapenzi kizungu mkuti
Chamtema kuni nimekiona
Kizungu mkuti Mapenzi kizungu mkuti
Mapenzi shikamoo shikamoo