![Conqueror](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/10/6066f14a3d8748328cefa3d936d6ea90.jpg)
Conqueror Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Conqueror - Collo Mfalme
...
Born sinner, born again Winner/ Ka bazuka nalipuka ka strike,
Sina mila ila vina nina jina/ take a look in the Book of Life
Africa's first double 007/ karibu Kenya kwetu 047/ hapa kazi tu 24/7,
Sina life ka 365 (ah)
Na ni process (yes) ndio nina'proceed (yeah)
Instead of counting losses, hesabu zangu siku hizi huwa kusow seeds (mh)
Tucheze "truth or dare", miracle baby uliza Pastor Deya
Niko ridho ka peddi na pia kasi kasi payer,
Full blast power puff pass there clan ya Black ku Klax (wooh)
Ndugu ni ndugu, tattoo si hina boo/ kama hujaskia lovers lie
Kuku ni kuku, jogoo jina tu/ caterpillar pia butterfly
Pride, envy, wrath, gluttony, lust, sloth, greed, devil you're liar, mwizi, murderer,
Trying to destroy, I freeze.
We're at the mountain top (yeah) I had to leave the valley of the shadow of death so that the pride can stop (no!)
Never lose your soul confusing money for wealth.
The evil eye saw out but the I sell-out,
bar for bar I've held it down from way back bila maybach si playback tuko live buda pay back
napepea ka power si usinizibe na ganji
namesea kadhaa usiniingize na rangi tembea ka'Star usizidiwe na dhambi
kemea kataa usi-deceive'we na bangi
mmh kama radhi niwieni radhi/ flow ni tima nikiwapiga radi
naombea mamaa mkono mtupu haulambwi/ nyenyekea babaa upunguzwe kitambi
(hii hata haineed hook, it does not need a chorus... no chorus!)
"Kutokana na hayo niseme nini zaidi?
Ikiwa Mungu yuko upande wangu nani awezaye kunipinga?!"
ah zii hio box yao siingii bhana/ siingii hio box yao
mbele iko sawa hatuezi backslide pia
kwa sanaa mimi ni G.O.A.T though Kondoo in CHRIST (ah)
Revelation, Jubilation now I know why they call me "Rival"
Restoration, reformation from the spring board of Revival.. Victory!
Boomplay lyrics by Dannie Nimrod