![SICHEKI](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/03/87d0bc25762641208c0fdae54ac74100.jpg)
SICHEKI Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
SICHEKI - Maandy
...
Sicheki - Maandy
(yooh
(Kabaya)
me sicheki kabaya
me sicheki round hii mm sicheki
Dagoo seti trao ndani westi
kuzipendi money ikiwa me hufanya za Imenti
ka n mechi we play ruff akuna friendly
me sicheki round hii me sicheki
Dagoo seti rao ndani westi
kuzipendi money ikiwa me hufanya za Imenti
ka n mechi we play ruff akuna friendly
me sicheki
Ambia promoter nadai macenti
mm silewi mboka iko fiti siteti
kabaya mdelii wambie mm n jet lee
ama tyson anadai chongwa na sauti ya Brighton