![Tawala](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/23/ed58b0a5b6bc4baeb2a234a7c143a914.jpg)
Tawala Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Tawala - Lady Bee254
...
La lala Yesu uuu Unatawala aah aah
Yesu Wewe ni Mfalme wangu×2
Unatawala mwenye nguvu ni Wewe ni Wewe×2
Ni nani agekufa,ili mimi niishi
ninani kwa kichapo chake mimi nigepona,
ninani agelimwaga damu yake iniokoe,ninani ageliweza, hayo,ninani ageliweza,ni nani ageliweza, kama sio Wewe Yesu
Chorus
Yesu Wewe ni Mfalme wangu×2
Unatawala mwenye nguvu ni Wewe ni Wewe×2
Uliumba ulimwengu,kwa nguvu zako Baba, viti vyote tunavyo vioona, ni nguvu zako Baba, jua na mwezi,mvua, kiangazi ii, Nguvu zako, uhai na afya kuogea kutembea kusikia,Nguvu zako
Oooh tawala maisha yangu
tawala nyumba yangu
tawala inchi yetu
tawala unatawala
Chorus
Yesu Wewe ni Mfalme wangu×2
Unatawala mwenye nguvu ni Wewe ni Wewe×2
Oooh tawala nyumba yangu
tawala maisha yangu
tawala kazi yangu
tawala tawala
tawala inchi yangu
tawala dunia yote
tawala Yesu wangu
tawala unatawala
Chorus
Yesu Wewe ni Mfalme wangu×2
Unatawala mwenye nguvu ni Wewe ni Wewe×2
Wastahili eeh Bwana na mokozi wetu,
kupokea utukufu na heshima
na nguvu,maana Wewe uliumba vitu vyote na kwa mapenzi yako viliubwa na viko
Yesu ndio maana nasema tawala
akili zetu, maisha Yesu
Tawala Yesu eeeh
oooh Halleluyah tawala
Yesu ee ee