![Hazipo](https://source.boomplaymusic.com/group2/M04/A0/B1/rBEeM1xUOzSAfaCpAAD4XkftBGQ904.jpg)
Hazipo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Hazipo - Nandy
...
eeee aaaaaa
ringtone on the beat
uzuri wako mashaalah
na macho yako ndo balaa
sauti yako noma sana
na mwendo wako ndo balaa
mimi uchizi wa moto fayaa
uzuri kakupa nani
unaumiza mambo mbayaa
nuksi huko nyumbani ×2
mi hazipoo (hazipoooo)
kwa ajili yako mwenzio mi hazipo baba (hazipooo)
akiki mi hazipo bwana (hazipoo)
kwajili yako mwenzio mi hazipo baba(hazipooo)
aaahh eeh
stimu nyingi kichwani akili zangu babaa
sijitamani nifikirie sanaa
usnipe maruhani mi moyo utahama
namashetani yanapanda kwa maana
mimi uchizi wa moto faya
uzuri kakupa nani
unaumiza mambo mbaya
nuksi huko nyumbani×2
mi hazipoo (hazipoo)
takua sina bahati ukisema hautaki utaua mapigo
penzi la supu babaa ukiweka nazi hatari mzigo ×2
Jaribu kuwa smart nipe mahabati tu japo kidogo
mie wazimu baaba kichwani mwangu mwenzio hazipo ×2
mwenzio mi hazipo (hazipooo)