
Nipe Repoti ft. Madee & Spack Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2007
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Nipe Repoti ft. Madee & Spack - Tunda Man
...
Nipe Repoti ft Tunda Man- spark
Hii hii hii hii hii hii hii hii hii hii
Tangu nikae jela mwaka mmoja
umepita bora leo Tunda Man umefika nipe Repoti za machizi maskani
Nipe Repoti za wazazi nyumbani
Baada ya hukumu mama akanywa sumu
Baba akafata akaugua wenda wazimu
Sina unamkumbuka Dada yako
Sasa nimgonjwa tumboni ana mtoto
Kwa maana hiyo dada yangu hasomi
tena hivi ni nani kamwachisha mapema
Mama mzazi halale mahali pema
Baba mzazi haugue salama.
..........
Hivi nini kwanza kisa na mkasa kikichofanya mpaka Spark upo hapa
Nilisikia eti Spark umebaka.
Kesi sio yangu mwenye kesi amenipa.
Hii hii, hii,, pole sn, nyamaza hacha kulia ×2hii, hii, hii, hii, hii, hii×2.
Ukilia sana Spark utaniliza mania unauchungu mpaka umepitikiza.
Nimeona chozi lako limeniumiza.
Mpaka leo siamini naisi naigiza, Jela hamna mwanga yaani mda wote kiza.
Man chunga sana husije ukatumbukizwa, nimeona mengi mpaka leo naumia.
Wanaume feki nao wameshaolewa.
Nimekumbuka mke wako kantuma, ameniambia usimwone yupo kimya