
Tupendane Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2000
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Tupendane - Kilimanjaro Band
...
Mpenzi wangu naomba nikueleze pendo langu lililo moyoni mmmmm moyoni mwangu mpenzi wng mwenyez mungu muumba ardhina mbingu ndiyo shahidi wa pendo mmmmm moyoni mwangu
Mapenzi ni kuvumiliana nami mpenz nimekuvumiliaaa
Mapenzi ni kuaminiana nami mpenzi nimekuamini
Mapenzi ni kuheshimiana nani mpnz nimekuheshimu
Kama nyota na mwezi vilivong'ara angani tung'arishe penzi letu sote tupeane penzi bila choyo chochote na bila hiyana kwetu sote
Elewa penzi ni chombo kinachotuunganisha ni chombo kinachosafiri kat ya mioyo yetu iliyo thabiti
Uuuuuuuhuuuuuh
Tulizana mpenz tupendane tulizana mpenz tupendane
Uuuuuuuhuuuuuh uuuuuuuuh
Mpenz wangu naahidi kuwa kama bahari