![Swaga Za Wapi ft. Maga](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/14/4b6a7b18225d48eaa35579fba4643941_464_464.jpg)
Swaga Za Wapi ft. Maga Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Swaga Za Wapi ft. Maga - Octopizzo
...
Intro : Ghanaian Stallion
Stallion On The Beat !
Chorus : Maga
Maswagga za wapi nikifanya mnacopy
Maswagga za wapi officer kunihoji
Maswagga za wapi kuzozana kwenye ploti
Maswagga za wapi wanasanya na haitoshi eh eh
Verse 1 : Maga
Mi ni yule jamaa napenda madem
Siwezi kakaa bila kubongesha toto
Kula chako pekee yako
Mimi Mimi sihitaji chako weee
Kinduku kiwake halafu mashukisha
Kwa hayo machache napiga tequila
Chorus : Maga
Verse 2 :Octopizzo
Sema kenye unadai niko Dubai ( Eh)
Sema kenye unadai ( Sema Sema)niko Mumbai
Sema Kenye unadai (Sema Sema) niko Shanghai
Sema Kenye Unadai Kenye Unadai Utabuy
Changamka kila ngware
Gizani hesabu zangu mita ( Sawa)
Ramadhan nimetinga kaa rada na kitita
Chorus : Maga
Verse 3 Octopizzo
Mizani vina ni gani mi sina ( Gani)
Imbo Mi (Imbo mi) sina zako za China
Gizani Kichaa,(Gizani) Maganji ni shida
Uliza jina ( Pizzo De) mi ni shida
Kizazi kipya mi ndio leader (Eeh)
Swagga zenu zote pipa (Weuwe)
Kwenye boxer cheki FIFA (cheki)
Niko Messi hii La Liga
Chorus : Maga
Outro : Octopizzo
Yah X6
Swagga za wapi, Swagga za wapi, Swagga za wapi iyee Swagga za wapi Swagga za wapi Swagga za wapi iyee