Nitadata Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Nitadata - Alicios
...
Mhhhhhhhh
Oh baba usinipe wazimu nikashindwa kulala
Na tena, uchachu kama ndimu kila siku hasira
Mapenzi kama safari,
Baridi utelezi bado tuko pamoja,
Mwenzio nimezama,
Usisikie maneno unafanya vioja,
Mwenzako mtumwa,
Nakwaya kwa mapenzi natumikia,
Nionee huruma,
Usije kuniacha, ukanikimbia.
Chorus
Usinikimbie (vibaya)
Usinikimbie hayaa (vibaya)
Usinikimbie (vibaya)
Usinikimbie hayaa (vibaya)
ohhhhhhhh
Yako mengi sana ya kusikia,
Sina maana utaambiwa,
kicheche kinoma,
"Sikupi mapenzi, eti mimi nakuibia"
Unajua mapenzi ni kuridhia,
Na kupenda asili mia mia,
Usinipe homa,
Nikapata simanzi machozi kulia lia.
Refrain:
Mwenzako mtumwa,
Yako mapenzi natumikia,
Nionee huruma,
usiniache ukanikimbia... ahhh
Chorus
Usinikimbie (vibaya)
Usinikimbie hayaa (vibaya)
Usinikimbie (vibaya)
Usinikimbie hayaa(vibaya)
Mwenzako mtumwa ahh(mtumwa weh)
Nionee huruma ah (huruma ahhh)
Mwenzako mtumwa ah (mtumwa weh)
Nionee huruma (huruma ahh)
Nitadata (vibaya )* 3
Nitadata usinikimbie (vibaya)
(Mmmh, eh )*4
Usinikimbie
Mwenzako mtumwa, mtumwa, mtumwa,
heeee