![Mtoto Anaweza ft. Iano Ranking](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/18/854d9d0cf3834223a6529d826db2aa6e.jpg)
Mtoto Anaweza ft. Iano Ranking Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Mtoto Anaweza ft. Iano Ranking - Maandy
...
mmhh ahh eeh maandy toto umeweza yer I know ******* mtoto anaweza we we weza mtoto anatesa te te tesa mtoto anaweza we we weza mtoto anatesa tesa te te tesa lesson ya kwanza tulia na uskize mi ni headmaster maswli usiulize hapa ni kwandika kalamu hadi iishe 30 centimetre na ruler c upime vile inawashwa ni Kama bansenburner form za reitation equation ibalance me Plus you na beshte yako ikiweza nahitaji tractor ju vile nimebeba oya handle di ting mi handle mi handle di ting control di ting mi control mi control di ting oyaa. CHORUS ################ na fly over buda nikipita na sengenge ma leftover chura tuliwachia masenge dame ni mja topa za kucheza reggae ye upandisia topa chini ka unadunga ndenge na nikobaye sanikikata badge