![Mbele Kwa Mbele](https://source.boomplaymusic.com/group2/M03/7C/22/rBEeM1w1prqAeYA2AAD8z2CNefw311.jpg)
Mbele Kwa Mbele Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Mbele Kwa Mbele - Nay Wa Mitego
...
Wazee wa kupima oili
Siku hizi nyama tunafunga kwenye foili
(Yamotoo)
Kale ka mchezo hakana ubaili
Maana kwenye baridi kananipaga mi
(Kajotoo)
Chapa mwendo, bwaga manyanga
Pesa ya simba leo nabet yanga
Kisanga, majanga
Vita ya bunduki we unakuja na panga
Na utamu tobo we ni kutoboa
Mashine haisagi na kukoboa
Kisu cha kukata dodo nishakinoa
Maana sitomaliza kwa kudonoa
Aah slow down punguza pupa
Huyu mpe yule snitch tunamruka (fireburn)
Rasta bangi, mchaga duka
Bi faya hataki kulinda siku hizi anataka kusuka
Mbele ... Sitaki mbele
Mbele ... Sitaki mbele
Mbele ... Sitaki mbele
Mbele kwa mbele
Mbele ... Sitaki mbele
Mbele ... Sitaki mbele
Mbele ... Sitaki mbele
Mbele kwa mbele
Mbele ... Sitaki mbele
Mbele ... Sitaki mbele
Mbele ... Sitaki mbele
Mbele kwa mbele
Tuko kisasa huendi kwa manati
Unalia njaa wenzako mambo safi
Uki overtake tunavuta shati
Eti umefilisika kisa pale kati
Hutaki kuoga why uvue nguo?
Ukitaka lala nnje patiana funguo
Na utamu tobo we ni kutoboa
Mashine haisagi na kukoboa
Kisu cha kukata dodo nishakinoa
Maana sitomaliza kwa kudonoa
Mwendo wa chuma na checha
Uoga akiteta
Nuna wacheke(wanokoo)
Mbele ...sitaki mbele
Mbele ...sitaki mbele
Mbele ...sitaki mbele
Mbele kwa mbele
Mbele ...sitaki mbele
Mbele ...sitaki mbele
Mbele ...sitaki mbele
Mbele kwa mbele
Mbele ...sitaki mbele
Mbele ...sitaki mbele
Mbele ...sitaki mbele
Mbele kwa mbele
Mbele ...sitaki mbele
Mbele ...sitaki mbele
Mbele ...sitaki mbele
Mbele kwa mbele
Wa amani amekama lake
Mbele kwa mbele, mbele
Mvuvi sio lazima uvue shati
Mbele kwa mbele, mbele
Unauliza utatupata wapi
Mbele kwa mbele, mbele
Ukilegeza tunakaza nati
Mbele,mbele
Free nation
Mbele,mbele...
Aaah aaah aaah ... Aaah aaah aaah ... (huoo)
Aaahh aaah aaah aaah ......umekata