![Mpita Njia ft. Juliana Kanyomozi](https://source.boomplaymusic.com/group2/M23/20/A0/rBEeqF6gBSuATPzkAACupbpYkeU870.jpg)
Mpita Njia ft. Juliana Kanyomozi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Mpita Njia ft. Juliana Kanyomozi - Alicios
...
Haaah..
haaah
huuuh
oooh...
Verse 1: Alicios
Juliana we sijui nianzie wapi lakini kuna Jambo nataka kukueleza
Yule bwana Mimi na ye tuna hadithi naye ucheza ule mchezo wa pata potea
(do you remember)
Mi na we ni marafiki toka zamani siwezi kukudanganyaa
Nia yangu kukulinda tokana na mwizi
mwizi wa mpenzi
Chrous:
Mpita njia
mpita njia
Asante yake mateke
kwako hata kaa milele
mpita njia x2
Kesho atapata mwingine
akuage alivoniaga
Verse 2: Juliana
Pilipili usio ila yakuwashia nini bahati yangu sio yako ila jua
Suppose man could not fall love with you so man can love me
Nakuonya mara moja ya mwisho tuache na amaani
Chrous:
Verse 3: Alicios & Juliana
Haaah..
haam..
Endelea kujidanganya
huuh..
Hiyo ni wivu wivuu
heeh..
()?
Chrous: Alicios & Juliana
()?
Mr Izz