![Kam Thru ft. Boutross](https://source.boomplaymusic.com/group2/M1C/B8/2D/rBEeqF56P2mAeiLUAACtpNxEWfI940.jpg)
Kam Thru ft. Boutross Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Kam Thru ft. Boutross - Maandy
...
Kam thru Form imejipa, sahau yale yote yamepita
Mi nadai kukatika, twende home zikishika
Maandy
I never ever wanted to chase
If you try to leave i replace
Lakini kwenye beddy si ni case
I'm more than just a pretty face
Na, najua nilikukosea saa zingine
Nahisi kukuongelesha lakini
Sijui kama utanilenga
Ama bado unanipenda
I know we both moved on
Its been way too long...
Naona ulipata mwengine
Lakini hanifiki mimi...
Let's try one last time
Usipomuambia sio crime
I don't want you to be mine
I'm just borrowing you for a while
Kam thru form imejipa, sahau yale yote yamepita
Mi nadai kukatika, twende home zikishika
Ilete nyuma nkuonyeshe vile ntaiondoa
Niipige bare vile ng'ang'o hupiga followers
Usiku wa manane ni makali ukirombosa
Urudi mtaani ukitembea flani vile ulihorowa
Umevie, wee ni mnice toa maringo tu
Na sina time, hizo msm mi sidai boo
Fungua ugh uh lemme dive boo
Hujapataga healing ya ulimi for sometime oouu
1 2 tell ur perfem
3 4 take a little nap around
5 6 girl your lil eish.girl you look good in that mink
7 8 grab your waist hit it from 9 to 10
Na huezi nisahau always wanting me around
Na your always calling my name
Kam thru form imejipa, sahau yale yote yamepita
Mi nadai kukatika, twende home zikishika