![Beba Ndogo ft. Arrow Bwoy](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/32/BA/rBEeqFwFEaaAVG1EAADMSHi1_N8285.jpg)
Beba Ndogo ft. Arrow Bwoy Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Beba Ndogo ft. Arrow Bwoy - King Kaka (Rabbit)
...
mmmmmh
[?] kaka empire
yeyeyye
they call me arrow bwoy
king kaka
[verse: Arrow bwoy]
ndani ya roho yake anauma, ulimwahidi utatunza penzi lake
akakufungulia roho too much
[verse: King kaka]
too much too much
nasi amekua na wewe amejituma,
time ya msoto ana ndoto,
wakati wa mboga, ukiafford tu skuma skuma,
[verse: arrowbwoy]
ekwa machozi anaogelea, vile unamcheza kama soka,
watoto amekulelea, na sasa unaona kumpenda sio hoja,
[verse: King kaka]
ile sacrifice ame do ame do that for true,
naniukweli ame do that for you,
buda sio you! nakitu una do ah buda sio true
[chorus: arrow bwoy]
aaaaaah
unam beba ndogo
walai unam beba ndogo
unam beba ndogo ndogo ndogo
ײ
[verse: king kaka]
na kila morning utakulanga kasmilii
queen beside me, royal kaa [?]
ata kaa time, vita behind me
blessed jua ushanizalia kabwoy
kaa ni tears ni tears of joy
you vip yaani wadhamaana
na ndio maana nakupenda kwa sana
kwako ntakaa sana yani ntakazana
no doubt jua you above them
nasiwezi kuseti uko kaka[?]
sijawahi changanyikiwa na magal dem
mbona wamchokoza [?]
[chorus: arrow bwoy]
aaaaaah
unam beba ndogo
walai unam beba ndogo
unam beba ndogo ndogo ndogo
ײ
[verse: arrow bwoy]
you better take her out and buy some wine
all she deserve is the sky
[?] flow maker wine
yeye you better know
[verse:king kaka]
ile sacrifice ame do ame do that for true,
naniukweli ame do that for you,
buda sio you! nakitu una do ah buda sio true
[chorus: arrow bwoy]
aaaaaah
unam beba ndogo
walai unam beba ndogo
unam beba ndogo ndogo ndogo
ײ