![Mungu Pekee](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/0E/29/rBEeNFjL-NWAeG7kAAByMFv0PYQ249.jpg)
Mungu Pekee Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
Lyrics
Sijui kaa ntaonakesho
Kaa ningali na uwezo wa kuifanya
Ntaifanya hadi mwisho
Mwambie huyo devil
Simwogopi shetani
Sir God yuko nami hadi kifo
Kaa ntaona kesho
Nipe nguvu na uwezo wa kijana na akili za mzee
Daima niwe
Imara wasiniangushe
Cedo
Naona saa
Kila siku ni zawadi toka maulana
So haji gani ushike tama mama
Majaribu huisha oh yah eeee
Na hata kaa
Maadui zangu watashikana na zaonjama
Siwaogopi nasimamama
Ya kiama yaoyajaeeeee
Hiyo ndio pace nasonga nayo
Wanshangaa hakuna stress nakuanga nayo
Naisha sawa
Sina kesi mahakamani au deni za majirani
Nko fresh nje na ndani
Oh ya eeeeee
Namwogopa Mungu Pekee
Mwanadamu kija kuntafash
Naomba Mungu untetee
Maneno yao yasiniumize
Nifanye sugu wewe
Wakitry kuntisha
Naomba nisitetemeke
I know you love
Know you love me eeee
So I don't fear nobody but you
Know you love me
Know you love me
Nisitetemeke
I know you love
Know you love me eeee
So I don't fear nobody but you
Know you love me
Know you love me
Nisitetemeke
Uh-siamini jo juu vile naishi life ni ngumu kuamini hii si ndoto
Sijui kesho vile itakaa
Kwa hivyo leo ntaifanya kaa kidogo huwa hairidhishi roho
Yaani sana
Tena sana
Ata wale wananchukia wananiheshimu bruh mi si kidogo
Uh-Sibabaiki nikiskia mkiongea
Nazidi kuwapa mi kisogo
Na kama saa sismami
Sitaki life iniache mataani mtaani
Mwenyezi nichungie familia yangu
Na pia za wale wote sauti yangu wanaiskia
Tupe afya nzuri
Na maisha matamu
Barabara zetu zinyooke
Waone mfalme ni wewe
Wakupewa shangwe ni wewe
Wakupewa shangwe ni wewe
Heh
Namwogopa Mungu Pekee
Mwanadamu kija kuntafash
Naomba Mungu untetee
Maneno yao yasiniumize
Nifanye sugu wewe
Wakitry kuntisha
Naomba nisitetemeke
I know you love
Know you love me eeee
So I don't fear nobody but you
Know you love me
Know you love me
Nisitetemeke
I know you love
Know you love me eeee
So I don't fear nobody but you
Know you love me
Know you love me
Nisitetemeke
I pray we
Me and my people we never die
Say we live forever
And forever we multiply and wherever we go
Ni nini wanaeza nishow
Ata kaa sina kitu
Uko na mimi kila siku
Kila siku
Wewe pekee
Namwogopa Mungu Pekee
Mwanadamu kija kuntafash
Naomba Mungu untetee
Maneno yao yasiniumize
Nifanye sugu wewe
Wakitry kuntisha
Naomba nisitetemeke
I know you love
Know you love me eeee
So I don't fear nobody but you
Know you love me
Know you love me
Nisitetemeke
I know you love
Know you love me eeee
So I don't fear nobody but you
Know you love me
Know you love me
Nisitetemeke