
Panapo Pendo Lyrics
- Genre:Folk
- Year of Release:2025
Lyrics
Vitu vyote ni sawa
Panapo pendo
Kila sauti tamu
Panapo pendo
Pana amani pale
Na furaha nyumbani
Siku zote salama
Panapo pendo
Panapo upendo
Siku zote salama
Panapo pendo
Loading...
Vitu vyote ni sawa
Panapo pendo
Kila sauti tamu
Panapo pendo
Pana amani pale
Na furaha nyumbani
Siku zote salama
Panapo pendo
Panapo upendo
Siku zote salama
Panapo pendo
Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.
Please check your balance and then try again.
Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.