Kaolewa ft. Riyama Ally,Atan & Magic Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2018
Lyrics
Kaolewa ft. Riyama Ally,Atan & Magic - Roma Mkatoliki
...
its rostam baby
kaolewa eeeh na nan
kaolewa walosema haolewi kaolewa
makubwa mbona pambe
huyuhuyu mwajuma nchokonoe
kill it Bea Bea
Mwajuma gani yule mtoto wa mkunga
asiyevaa za dukan ye kutwa nguo za mtumba
bwana bwana tayari kapata mchumba huku kumedamshi njoo tufinye mpunga
si walisema yule mgumba eti kizazi hana kitaani kicheche sana imekuwaje kapata bwana
mmh ndoa bwana kama utani mwana unaminyaminya nyanya unanunua bilinganya
si walisema sigara nyota nawasha mbele na nyuma mwana gani uyo goloka si bora angemwoa Muna
Muna gan? yule baba Willy acha utani tukeshe mpaka alfajiri
mwajuma kaolewa eeh na nan
kaolewa walosema haolewi kaolewa
makubwa mbona pambe
huyuhuyu mwajuma nchokonoe
Anamelemeta
Anamelemetaaa
Anamelemeta
Anamelemeta aa
ee mawifi naona wanacheza na mshenga si walisema haolewi
Leo wametuliza nge..nga
wale ma ex walompiga chenga
wanaona wivu mwajuma anapigwa denda
mbona walosema ana gundu ndo hao wanolishwa keki
na walosema haolewi ndo wanomaliza kreti (nawaona)
wasio na kadi ndo wameingia bila witoo
si mlimchamba bi harusi mbona mnacheza kwaito
kampa kampa tena upo nyonyo
nipo titi
najua hujachanga usiogope cheza mziki
ila mwajuma anakata mauno anaonekana fundi
mmmh sa itakuwaje tumuulize kungwi
mwajuma kaolewa eeeh kaolewa
kaolewa eeeh na nan kaolewa mama mama mama kaolewa tobaa
Anamelemeta
Anamelemeta aa
Anamelemeta
Anamelemeta aa
simwamini mwajuma ata kama Leo kaolewa nampa wiki 3 tu talaka lazima atapewa
we una wivu au umetumwa au ulimtaka akakataa mi nampa miaka mia nane atadumu na utashangaa
we mgeni apa kitaa usibishe nisikilize Mimi
mwache mwa j apate raha kashadanga sana mjini
alivunja ndoa ya baba sembuse uyo kapuku
bwana tufinye cha mtume ayo mengne hayatuhusu
Anamelemeta
eee hii in nyingne tena
mmh ni rostam tena
Musa babaz wa babaz bea