![Sina Pressure ft. Jovial](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/07/b5d56e0919664361ad081069368b6e83H800W800_464_464.jpg)
Sina Pressure ft. Jovial Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2025
Lyrics
SINA PRESSURE LYRICS
Verse 1
Iwe kwa miguu kwa gari ni shoulder to Shoulder
Naruka na ndege baiskel au Bodaboda
Hi Hater najua mmewasha Recorder
Habari zetu mmetengenezea ma Folder
WWW'hatuwezekani.Com
Au piga costume care yetu free Call
Washa Jua, Shusha Mvua Brings that Strom
Kwa Hali yoyote lazima am going Home
Let Me tell you nilipotoka sijawahi ku Fake
Zamani maji ya kiroba kula one Take
Siku hizi mtu akitukera tunachekea Bank Naingiza number ATM zinatoa
Change
Wakiuliza kuhusu mimi waambie nipo Gado
Wakiuliza How am doing waambie No Straggle
Wakiulizia Time waambie mambo Bado
Bwana mdogo ungetulizaga Kipago
Chorus
Tell Me what You See, I Got No Worry
Ukiniangalia Aah Wala Sina Pressure
Tell Me what You See, When You Look at Me, Ukiniangalia Pressure sinaga
Pressure
Pressure Sinaga Pressure
Ukiniangalia, Pressure sinaga Pressure
And when you give me love, You got the Love
You got My Respect
Ukinivunjia heshima
Nitakupa Adabu, Nakata na Network
Verse II
Nashusha mizinga wanapofanyia vikao,
Sitakagi ujinga, mpaka wanyooshe maelezo yao.
Wana Alosto ya udaku masikioni mwao
Supply wa umbea mtaani kwao umeme wa mgao
Wanavunja ungo,, vunja vunja nazi na mayai
Wana campaign kwenye kiti changu hawakai
Nafoka nachokoza nakuapia wallah
Natoka nimechomoza, nyota zao hazing'ai
Usichezee mnyama mwenye njaa kwenye Field
Nimetembea sijateleza kwa ganda kwa Ndizi
Unakubali unakataa, sijali what You need
A got My People na Mama, Watoto wako Feed
AM to PM mi uwa nipo Busy, Nairobi to Kampala, you know what it is
Tupite Mombassa, Tanga tukale Ndizi, Don't Text Me Am Driving nipo Speed
Chorus
Tell Me what You See,
I Got No Worry
Ukiniangalia
Aah Wala Sina Pressure
Tell Me what You See, When You Look at Me
Ukiniangalia Pressure sinaga Pressure
Pressure Sinaga Pressure
Ukiniangalia
Pressure sinaga Pressure
(c)2024 CMG.All Rights Reserved.