![X](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/07/f926b4820ddd4de8a29b36398f985840H800W800_464_464.jpg)
X Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2025
Lyrics
X - Harmonize
...
Kondeboy, call me "Number one"
Nani kasema. X wangu ana enjoy
Nani kasema anapata raha
Ivi nani kasema X wangu ana enjoy
Nani kasema anapata raha
Nikimuona analewa namuelewaa
Anajiona kachelewa age go
Na bado hajapewa viuno alivyopewa
Anajiona kachelewa age go
Nani kasema ex wangu anaenjoy
Nani kasema anapata raha
Ivi nani kasema ex wangu ana enjoy
Nani kasema anapata raha
Never
Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende kwalidu kula
Ibiza Miami mbali
Hajapelekwa hata Zanzibari
Hapo kizimkazi aka enjoy
Low-budget Dubai hatoboi
Anasikitisha x
Kama embe la mti wa porini
Anajipitisha X
Amekosa wa kumuweka mjini
Nikimuona analewa namuelewaa
Anajiona kachelewa age go
Na bado hajapewa viuno alivyopewa
Anajiona kachelewa age go
Nani kasema ex wangu anaenjoy
Nani kasema anapata raha
Ivi nani kasema ex wangu ana enjoy
Nani kasema anapata raha
Never
Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende kwalidu kula
It's Kondeboy. Call me "Number one"
Bakhresa
Konde music worldwide
Eh
Sikumpenda tu nilimtukuza
Nikala bata bila kumchunguza babe
Mambo madogo akayakuza
Eti kisa upendo akaniburuza
Riggz made it