![Tulia Na Mimi ft. Jay Melody](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/07/b5d56e0919664361ad081069368b6e83H800W800_464_464.jpg)
Tulia Na Mimi ft. Jay Melody Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2025
Lyrics
TULIA NA MIMI LYRICS
Verse I
Watu wakikunyima sifa mi Ntakusifia
Kaa nishafuta kiti chako Malikia
Huna mpinzani nani Wakushindania
Number One penzi limeshikilia Babe
Jimwage jimwage kama Nilivyokuambia
Nikupande pande na kushuka kila Njia
Ukitaka kumbatia ukitaka Simamia
Ruka tiktaka ukitaka ning'inia Babe
Eeeeh
Watabamba uwanjani Tamba
Tamba uwanjani Tamba
Anajua mashetani yangu Yakipanda
Uwa sivunji chaga navunja vunja Kitanda
Penzi langu kama mawingu Tanda
Tanda angani nime Tanda
Wengine wanasema nisafiri Tanga
Eti nimerogwa niende nikapate Mganga
Watabamba uwanjani Tamba
Tamba Babe Tamba ooohh
Chorus
Jay Melody
Mi Ata sijui nifanye Nini
We Tulia na Mimii
We Tulia na Mimii
We Tulia na Mimi
Usije ukanipiga Chini
We Tulia na Mimii
We Tulia na Mimii
We Tulia na Mimi
Verse II
Jay Melody
Na kwako sijiwezi
Siwezi hata Kubisha
Yameshakuwa mapenzi
Yako mapenzi yana Miujiza
Mechi mbaya Sichezi
Yangu number Tisa
Magoli kama Messi
Iwe penalty au magoli ya kichwa
Tahadhari tu
Nishajifunza mpaka Kung Fu
Akitokea mwizi Nampa Mguu
Huyu Babe wangu mimi tu
Tahadhari Tu
Kama ni ngoma ni Mchiriku
Masongombingo chumbani Usiku
Na akinipa Hanipi Kiduchu chu chu Chu
Chorus
Jay Melody
Mi Ata sijui nifanye Nini
We Tulia na Mimii
We Tulia na Mimii
We Tulia na Mimi
Usije ukanipiga Chini
We Tulia na Mimii
We Tulia na Mimii
We Tulia na Mimi Mimi
Hook
Eeeeeeh
Watabamba uwanjani Tamba
Tamba uwanjani Tamba
Anajua mashetani yangu Yakipanda
Uwa sivunji chaga navunja vunja Kitanda
Penzi langu kama mawingu Tanda
Tanda angani nime Tanda
Wengine wanasema nisafiri Tanga
Eti nimerogwa niende nikapate Mganga
(c)2024 CMG.All Rights Reserved.