![Diana](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/1E/D5/rBEehlura_SAJjl-AACHz5jBonE698.jpg)
Diana Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Diana - Bahati
...
Niko vitani na moyo baby
Zaidi ya yote kumbuka jana
Unasonga, mi nasonga
Moyo unakataa. Ah!
Kinachonitia wasi wasi
Ni cha kuwaambia kanisani
Na sijafeli
Nina imani moyoni
Ulivyobeba virago vyako
Kanisahau mie
Na ukambeba mwanangu
Amwite nani daddy
Diana
Diana
Wangu Diana
Nisikize Diana
Ina maana huoni uchungu napitiaa Naikimbia shida nilikotoka unajuaa Naogopa, naogopa
Hunnie naogopa
Ninavyo umia bidii kwa kazi
Mbona unaondoka
Nakupenda sana
Nishawaambia mashabiki na baba Akulinde sana
Baado nakusubiri
Ulivyobeba virago vyako
Kanisahau mie
Na ukambeba mwanangu
Amwite nani daddy
Diana
Diana
Wangu Diana
Nisikize Diana
Ina maana huoni uchungu napitiaa Naikimbia shida nilikotoka unajuaa
Diana
Diana
Diana, Diana...
Diana, Diana...
Shallzbaro
Ulivyobeba virago vyako
Kanisahau mie
Naukambeba mwanangu
Amwite nani dady