![Sugar](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/14/b16f448e0d31466fba6ef0ffd53755e6H800W800_464_464.jpg)
Sugar Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2025
Lyrics
SUGAR LYRICS
INTRO
Ooooooh The African Princess Mmmmh
S2kizzy Baby........
VERSE: 1
Nitaweka lindo kulilinda penzi lako
Nitaimba Wimbo kwa mahaba Juu yako
Umelimiliki jimbo ukalifanya kuwa lako
Hili jimbo limiliki liwe kwako
BRIDGE
Kichwani siko sawa, akili sina
Moyoni siko sawa, ni lako jina
Na Penzi liwe dawa, Nipone mazima
Niwe sawa mzima mzima
CHORUS
Oooh Sugar nitamu asali nitamu sukari nitamu sana
Aaaah Sugar nitamu asali nitamu sukari nitamu sana
Oooh Sugar nitamu asali nitamu sukari nitamu sana
Instrumental Playing
VERSE:2
Shida sio mimi shida sio wewe shida ni moyo wangu
Shida sio wale shida sio kule shida ni moyo wangu

THE END