![Fungua Macho](https://source.boomplaymusic.com/group2/M17/FA/92/rBEeNF5KW0OAfdI7AABwHP5ivG8763.jpg)
Fungua Macho Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Fungua Macho - Mercy Masika
...
uuuh... uoooo...
Wateule eeh tulioweka imani
Kwa Yule aliyetufia
Wateule eeh tulioweka imani
Kwa Yule aliyetufia
Sauti ya shaka, sauti yasema
Hatutasimama hatututaendelea
Na sisi twasema
Tutasimama tutaendelea
Mungu yuko upande wetu
Mkristo simama
Fungua macho uone
Jeshi la malaika limetuzingira
Fungua macho uone
Jeshi la malaika tutashinda vita
Fungua macho uone
Jeshi la malaika limetuzingira
Fungua macho uone
Jeshi la malaika tutashinda Vita
Wateule eeh tunaomuishia
Yule anayetupenda
Wateule eeh tunaomuishia
Yule anayetupenda
Mawazo ya shaka
Mawazo yasema hatutayashinda hatutaendelea
Na sisi twasema
Tutayashinda Mungu yuko upande wetu
Tutasimama...
Fungua macho uone
Jeshi la malaika limetuzingira
Fungua macho uone
Jeshi la malaika tutashinda vita
Fungua macho uone
Jeshi la malaika limetuzingira
Fungua macho uone
Jeshi la malaika tutashinda Vita.
Uoooh
Tufungue macho
Tufungue macho Yesu
Tuone... ooooooh...
Fungua macho uone
Jeshi la malaika limetuzingira
Fungua macho uone
Jeshi la malaika tutashinda vita
Fungua macho uone
Jeshi la malaika limetuzingira
Fungua macho uone
Jeshi la malaika tutashinda vita