![Nishikilie](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/20/84/rBEeM1uKegWAGZ0YAADObkw_0rc836.jpg)
Nishikilie Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2013
Lyrics
Nishikilie - Kambua
...
.....
wewe ni nguzo
yangu
wewe kimbilio
langu
mwanga wangu
baba yangu
nikikimbia nimkimbilie nani
nikikilia nimlilie nani
nikianguka nani aniamshaye
nikilala nani anilindaye
nishikilie niongoze mbali na waovu
baba eh
niinyeshe njia zako
nami nitazifuata milele
.......
.........
gongo lako
na fimbo yako
vya nifariji Baba eh
waanda meza mbele yangu
machoni pa watesi wangu
nishikilie niongoze mbali na waovu
baba eh
niinyeshe njia zako
nami nitazifuata milele
nishikilie niongoze mbali na waovu
baba eh
niinyeshe njia zako
nami nitazifuata milele eeeeeeee
eeeeeeee
..........
nishikilie niongoze mbali na waovu
baba eh
niinyeshe njia zako
nami nitazifuata milele eeeeeeee
nishikilie niongoze mbali na waovu
baba eh
niinyeshe njia zako
nami nitazifuata milele eeeeeeee
nishikilie niongoze mbali na waovu
baba eh
niinyeshe njia zako
nami nitazifuata milele eeeeeeee
...................
............