Mlete Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Mlete - Nandy
...
#INTRO
Zombie akipiga ka’ hapigi tena
(The African Princess)
(S2kizzy baby)
#VERSE
Eti hana kitu, mi’ nd’o ni’shapendana nae
Hajui kuvaa, ila mi’ nd’o natoka nae
Sio mzuri sana, ila naendana nae
Si ananifaa, nd’o mana nadunda nae
#PRE-CHORUS
Kama una wako-ooh
(Mlete)
Kama unahisi anamzidi wa kwangu
(Mlete)
Ka’ una chuma chako-ooh
Kilete
Kama unahisi kinazidi cha kwangu
(Kilete)
#CHORUS
Aah-aah-aah
Ka’ una baby wako
(Mwite, mwite)
Tumthaminishe
(Mwite, mwite)
Basi mpost tumuone
(Mwite, mwite eeh)
Tumpambanishe
(Mwite, mwite)
#POST-CHORUS
We’ kama una wako-ooh
(Mlete)
Kama unahisi anamzidi wa kwangu
(Mlete)
Ka’ una chuma chako-ooh
Kilete
Kama unahisi kinazidi cha kwangu
(Kilete)
#VERSE
Hodi, hodi, shemeji record
Zombie mwenyewe nd’o kapiga machord
(Hodi, hodi, shemeji record)
(Zombie mwenyewe ndo’ kapiga machord)
#BRIDGE
Oya, oya, oya, oya
Mi’ na maanko sina anko boya, boya
(Oya, oya, oya, oya)
(Mi’ na maanko sina anko boya, boya)
#PRE-CHORUS
We’ kama una wako-ooh
(Mlete)
Kama unahisi anamzidi wa kwangu
Mlete
Ka’ una chuma chako-ooh
(Kilete)
Kama unahisi kinazidi cha kwangu
(Kilete)
#CHORUS
Aah-aah-aah
Ka’ una baby wako
(Mwite, mwite)
Tumthaminishe
(Mwite, mwite)
Basi mpost tumuone
(Mwite, mwite, eeh)
Tumpambanishe
(Mwite, mwite)
#POST-CHORUS
We’ kama una wako-ooh
(Mlete)
Kama unahisi anamzidi wa kwangu
(Mlete)
Ka’ una chuma chako-ooh
(Kilete)
Kama unahisi kinazidi cha kwangu
(Kilete)
#OUTRO
Kamix Lizer