Tabia Yangu Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
K2GA - TABIA YANGU Lyrics
VERSE
Tabia yangu naijua mwenyewe
Mmmh tabia yangu naijua mwenyewe mie
Ona tabia yangu naiweza mwenyewe oooh
Ona tabia yangu naipenda mwenyewe mie
Yani kuhonga nahonga Mimi
Pesa zangu natumia
Kwa nnavyopenda mapenzi
Nisipofanya naugua
Kulewa nalewa Mimi
We kwanini unachukia
Kwanza nakipenda Toto la Mtu
Siwezi kijizuia
CHORUS
Mmh Siachi iiih iiih siachi
Tabia yangu ya umalaya siachi
Siachi iiih iiiih siachi
Kukesha kulala Baa siachi
Siachi iiih iiiih siachi
Kupanda juu Yameza siachi
Siachi iiih iiih siachi
Nikivesha naliaga siachi
VERSE
Muda mwengine wivu najionea
Tabia yangu ukweli naisifia
Inanikosha aijawai kuniboa
Labda nikidanga nilikopwa ndio naumia
Weekend nilale nyumbani
Roho yangu inaniuma
Niende Baa bila ya kulewa
Roho yangu inaniuma
Konda Buza kwampalange
Nishushe kwa nyuma
Bola nikose vyote
Nisikose ......!
CHORUS
Mmh Siachi iiih iiih siachi
Tabia yangu ya umalaya siachi
Siachi iiih iiiih siachi
Kukesha kulala Baa siachi
Siachi iiih iiiih siachi
Kupanda juu Yameza siachi
Siachi iiih iiih siachi
Nikivesha naliaga siachi
BRIDGE
Oyaah nikimpata nikimpata
Wanangu nikimpata nikimpata
Kwanza namkatia chingili
Namvutia kishoyaa
Mguu pande Mguu sawa
Mambo oya oyaah
Namkatia chingili
Namvutia kishoyaa
Mguu pande Mguu sawa
Mambo oya oyaah
Sekedua sekedua ndio nipate hamu
Ukipunguza kidogo unakata aiih Mama
Sekedua sekedua ndio nipate hamu
Ukipunguza kidogo unanikata sterm
Aya unakatia sterm unanikata utamu
Unaktia sterm Mama unanikata utamu
Unakatia sterm unaktia utamu
Unaktia sterm Mama unaktia utamu..
THE END
(c)2024 Kings Music Records.All Rights Reserved.