Usingizi ft. Yammi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Usingizi - Rayvanny
...
Nikuite mahabuba, honey benki ya furaha
Sweat chocolate masuger one in a billion
Usingizi mtamu nikilala na wewe
Chakula hakipiti nsipokula na wewe
Nimependa ninapopendwa mniache nile zangu raha
Mapenzi yanawenyewe
Na wenyewe ni mimi na wewe
I love you, I love you more
Kwako sijiwezi, me utanitoa roho
Nimependa ninapopendwa mniache nile zangu raha
I love ue, I love ue more
Kwako sijiwezi, utanitoa roho
Nimependa ninapopendwa mniache nile zangu raha
........
Meli konye upepo baharini
Utulie na mimi
Upendo unavyo uthamini
Nisikupende kwanini
Nahisi uliumbwa wewe uwe na mimi
Me sikuachi niamini
Penzi ni siri yetu we na mimi
Sitaki mwinginee wanini
Ntalalama mimi
Me napendwa mimi
Me natunzwa mimi
Mungu anipe nini
Usingizi mtamu nikilala na wewe
Chakula hakipiti nisipo kula na wewe
Nimependa ninapopendwa mniache nile zangu raha
Mapenzi yanawenyewe
Na wenyewe ni mimi na wewe
I love ue, I love ue more
Kwako sijiwezi, me utanitoa roho
Nimependa ninapopendwa mniache nile zangu raha