Spy App Lyrics
- Genre:Genge
- Year of Release:2024
Lyrics
Spy App Lyrics
(Intro)
Line hapangigi line,
Mwenye kisima, Hapangingi line, x2
hapa itakubidi app to spy on your partner
itakubidi app to spy on your partner x7
[Ssaru]
Itakubidi app to spy on your partner x 3
Itakubidi ah, kile unatafuta utakipata
Itakubidi app to spy on your partner x3
Itakubidi ah, kile unatafuta utakipata
Natafuta app ya kujua whatsapp
We chakura ig maliza ingia whatsapp
Nategea gidha zako zile, zakupiga nap
Nachokora hizo app zitanipata hadi kwa map
Cheki niko app to spy on your partner
Up to the sky kuna drone inakufata na,
Hapa kwa hapa naona mahaga we unataka
Ndogo Ndogo, Bigi Bigi
Doshi unavuka mipaka
lazima nidigi ju niko na bigi
Waambie wasupa wako ukija jiji me ndo bibi
Naidigix2
Naidigida kwa wingi
Na nikidigi nduru haitoshi hapa unapiga hadi firiimbii
[Doshi]
Hapa itakubidi app to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner x 7
[Ssaru]
Itakubidi app to spy on your partner x3
Itakubidi ah, kile unatafuta utakipata
Itakubidi app to spy on your partner x3
Itakubidi ah, kile unatafuta utakipata
[Doshi]
Ninachanga kuchanganya ma bailey na chang'aa juu ya balechiaga
Chang'aa kwa canter Kirigiti to Kirinyaga
Aah aah U- ah
me ni chali wa Hookups
Ni na madeni Kilimani to B Center Mr.Munga
Njaro deadly ngori since maza was younger
Hadi line ya VCT nakuitisha numberr
Hakuna cha credit ukini scratch nakubamba
Naskia mbiguni tunapata mwili mpya
Kwa Baba
Jolene x3
Jolen
Nakuanga handsome nikitaka
Jolene
Jolene
Darling x2
Spy app nakushika ah
Nakushika Ah
Hapa itakubidi spy on your partner x7
[Ssaru]
Itakubidi app to spy on your partner x3
Itakubidi ah ,Kile unatafta utakipata
Itakubidi app to spy on your partner x3
Itakubidi ah, Kile unatafta utakipata
[OG]
Wewe
Funika cleveage sitaki nilete zogo
Good features zitajichora ndani ya rinda
Nilienda Tz kujitaftia goshodo
Nairobi Peng si mali but wanaringa
Kwa hii city sahi ni risky kutesa
Ndo upewe mbana unatoa za whisky na chaser
Soon as dem amekua tipsy ni refer
na Rashforward like she took a trip to UEFA
So kamam spare the D then ni peace sign
Sitaki spy ana ni spy kama suspect ****
Interest muhimu so iki decline
Then definitely imma treat you like my ******
Jibu zero
No response kwa daro
Uliza pius muiru
Who's the hero
Block mambaru
ndo nimebring
Ofcos na Ssaru
CCTV inapigia kali surveillance
Spy ndo reason shwary hakusongi ma ray ban
Tribe asi nitukane kwa jirani ma neighbours
Pride isi kufanye ulale mteja
[Doshi]
App to spy on your partner
Itakubidi app to spy on your partner x7
[Ssaru]
Itakubidi app to spy on your partner x3
Itakubidi ah ,
Kile unatafuta utakipata