Mi Alma Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Nimepatwa baridi
Nahitaji joto
Nafuta waridi
Fundi wa penzi moto
Aniachishe ufisadi
Wa mapenzi utoto
Baby yohh nitampenda sana
Nitampenda sana
Ohh sitojali
Ana umri gani
Nitachojali
Kama ana penzi la kweli kwangu
Sitojali
Ni sampuli gani
Nitachojali
Lake penzi liwe kweli
Ohh my darling
My sweet patoto
Sermónes nos acreddito
You're my shito shito
Aaaah uohoo ouuh aah uoho ohh
Ohhhhhh ohhhh
Ohh baby umenikamata
Aaaah uohoo ouuh aah uoho ohh
Nitaongea kitu gani
Mwili umenyonyonyea
Aaaah uohoo ouuh aah uoho ohh
Nikuvalishe vazi gani
Utameremeta baby
Aaaah uohoo ouuh aah uoho ohh
Nikupeleke nchi gani
Utatamba uta enjoy
Najijua kama
Mi ni mchafu kwenye mahaba
Nikisha zama
Kutoka hoi
Najijua kama
Niko rough kwenye mapenzi
Nikisha zama
Ni mboko ukohoi
Nasubiria nimpate
Aje tukose tupate
Asininunie nidate
Awe tayari kwa yote
Tule pizza mikae
Sina nomaaaaaa
Ohh sitojali
Ana umri gani
Nitachojali
Kama ana penzi la kweli kwangu
Sitojali
Ni sampuli gani
Nitachojali
Lake penzi liwe kweli
Ohh my darling
My sweet patoto
Sermónes nos acreddito
You're my shito shito
Aaaah uohoo ouuh aah uoho ohh
Ohhhhhh ohhhh
Ohh baby umenikamata
Aaaah uohoo ouuh aah uoho ohh
Nitaongea kitu gani
Mwili umenyonyonyea
Aaaah uohoo ouuh aah uoho ohh
Nikuvalishe vazi gani
Utameremeta baby
Aaaah uohoo ouuh aah uoho ohh
Nikupeleke nchi gani
Utatamba uta enjoy