Umenitenda Mema Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2016
Lyrics
Umenitenda Mema - Kambua
...
nakushukuru wee,nakutukuza wee
umenitendea, mambo ya ajabu
Mimi nisemeje,ili nikushukuru
nasema ewe mungu,umenitendea
umetenda mema×3
ndio maana naimba
umetenda mema×3
ndio maana naimba
wimbo wa Moyo wangu, na nafsi yangu yote
yasema wewe mungu,umenitendea
maisha yangu yote, nakutolea wewe
kwa maana ewe baba, umenitendea
umetenda mema×3
ndio maana naimba
umetenda mema×3
ndio maana naimba
umetenda mema3
ndio maana naimba
umetenda mema×3
ndio maana naimba
umetenda mema×3
ndio maana naimba