![Bado Nasimama](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/1F/AE/rBEeM1uFYVeAJ7KmAAC6NRNj950661.jpg)
Bado Nasimama Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2016
Lyrics
Bado Nasimama - Kambua
...
Bado nasimama, bado naendelea, bado najikaza nifike kulee...×2 (CHORUS)
Bila neema na rehema zako...
ningekua wapi.. mimiii....
Bila upendo na fadhili zako..maisha yangu yangekua buree ...
Kwa wema wako kanisimamisha...
na Imani yangu Ukaiweka salama...
Kama si wewe mwamba wa wokovu wangu ..Nisingeweza ningeangamia....(BACK - CHORUS).
Nainua macho yangu...kwako wewe baba yangu...msaada wangu utatoka wapi
Msaada wangu ukatika Bwana
Hasinzii, anilindae , haniachi Mimi niteleze uuuh
Anipa nguvu na uwezo wake
ili Mimi nifike kule....
Nifike eeh ..kulee....(CHORUS).