![Mama Shujaa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/29/594cd9c94dc94355af96185f49111707H3000W3000_464_464.jpg)
Mama Shujaa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
To mama mama mama mama mama yeah
Najua Mola ndiye akapanga kunipa mom yule alinipanga
Shukrani, nampa mumba baba
Time nikiwa mchanga wa kutojitambua
Alinipeana kwa mama shujaa
Milima akapanda nami
Mabonde akashuka nami
Kila Jumapili, mle kanisani
Akanifunza kusali na kumwaminia Jalali mama
Chakukulipa mom sina
Mama sina lolote mie
Ila nashukuru sana
Umenitendea mema mama
Kwa yale yote
Ulionifanyia
Yule atakulipa
Mama ni Maulana
Mama sina lolote mie
Umenitendea mema mama
Ulionifanyia
Yule atakulipa
Mama ni Maulana
Tangu utotoni, mwangu mwangu
Sijawai mpata, mwingine mwenye ukarimu kama wako momma
Mgongoni mwako, ukanitunza
Kwa mbeleko
Ukanifunza
Na mienedo
Ukaiga miema mama
Mgongoni mwako, ukanitunza
Kwa mbeleko
Ukanifunza
Na mienedo
Ukaiga miema mama
Chakukulipa mom sina
Mama sina lolote mie
Ila nashukuru sana
Umenitendea mema mama
Kwa yale yote
Ulionifanyia
Yule atakulipa
Mama ni Maulana
Mama sina lolote mie
Umenitendea mema mama
Ulionifanyia
Yule atakulipa
Mama ni Maulana
Hivi leo kesho nitaishi kunadi
Maishani mom umenifaidi
Sana shuleni malazi
Karo mavazi
Kamwe siwezi
Yasahau uliyoyapitia
Ulivyojinyima diposa mwanako nipate kusoma
Nyumbani milima ukapanda, mabonde ukashuka
Chakukulipa mom sina
Mama sina lolote mie
Ila nashukuru sana
Umenitendea mema mama
Kwa yale yote
Ulionifanyia
Yule atakulipa
Mama ni Maulana.