
Penzi Limevuja ft. Mackenzie & Ray Ryan Lyrics
- Genre:Blues
- Year of Release:2024
Lyrics
Penzi Limevuja ft. Mackenzie & Ray Ryan - Urban Sheriff
...
It's a Hotcore Beatz
Yeyeyee
This Jam
Noma iye
Mackenzie
Ye, ni Ray
Sheriff mara tena
Oooh babygirl
Maa unavyofanya ni kama haucare
Maana hivi unavyofanya sio fare
Waniumizaa
Eeh
Na nimekuona insta
Unapost your mister
Mnaendanaaa
Na ni kama kichwa kimenipanda kichaa waniumizaa
so mommy tell me what you want
Mpaka unaninyima some love
So mommy tell me what you want
Unanipenda unampendaa
Unachonfanya sio sawa babyyy
Unanifanya nayaogopa
Nayaogopa mapenzi
Penzi limevuja (vuja)
Limevuja tena (ah aah aaah)
Penzi limevuja
Limevuja tena
Penzi limevuja (vuja)
Limevuja tena (ah aah aaah)
Penzi limevuja
Limevuja tena
Sjui unapenda ninavyolalamaa
Ama unapenda tunavyotuzozana
Shida ikifika tunatwagombana
Mara ikifika tunatwafukuzana
Kama umenichoka mi
Nambie nitatoka oooh yeah
Kama umenichoka mi
Nambie nitatoka oooh yeah
Unachonfanya sio sawa babyyy
Unanifanya nayaogopa
Nayaogopa mapenzi
Penzi limevuja (vuja)
Limevuja tena (ah aah aaah)
Penzi limevuja (limevujaaa)
Limevuja tena (limevuja babyyy)
Hivi mapenzi
Yashanitoa roho mi nina roho ya chuma
Ety leo unapendwa hivi kesho unaumizwa
Nashindwa kuuliza ni kitu gani maa (mmmh)
Ni nani 'shasema ukipendwa unalizwa mwenzenu nashindwa na mapenzi dah
Sema sawa (sawa)
Sikujua kitanipata nini
Unachonfanya sio sawa babyyy
Unanifanya nayaogopa
Nayaogopa mapenzi
Penzi limevuja (vuja)
Limevuja tena (ah aah aaah)
Penzi limevuja
Limevuja tena
Penzi limevuja (vuja)
Limevuja tena (ah aah aaah)
Penzi limevuja
Limevuja tena
(yeah yeah)